Alhamisi 9 Julai 2026 - 23:56
Video Kamili | Swala ya Maiti Juu ya Mwili wa Kiongozi Shahidi Yaongozwa na Mwanawe wa Kwanza

Swala ya maiti juu ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi imeongozwa na mwanawe wa kwanza, Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Mustafa Husseini Khamenei, na kufanyika katika Haram Tukufu ya Imam Ridha (as), mjini Mashhad.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha